Uchaguzi 2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

Uchaguzi 2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe

Hivi wataacha lini huu uhuni?
Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii

Hawawezi kuacha kama alivyo jiwe CCM na wale manyumbu wa buku 7 kusikia ni kama kenge.

Kingine wanadhani jiwe ni malaika.

Hawaamini inawezekana vipi kumpiga dongo malaika
 
Sioni sababu Kwanini TCRA wasitoe Onyo Kali kwa Tbc ? Maana swala hili linakua linarudia rudia Means wao ndio tatizo
 
..wasiende LIVE kwenye kampeni zozote.

..Na mikutano ya vyama vyote ifanyiwe editing kabla ya kurusha.

..vinginevyo wataendelea kuwakera watu.
 
Ndugu zangu wana jukwaa;
Awali ya yote,wengi wetu tunafahamu juu ya uhuni unaofanywa na TBC.
Uhuni huo,ni wa kukata sauti pindi wapinzani wanapoongea hoja nzito dhidi ya chama tawala.
Walianza kwa CHADEMA.
Na leo wanaendeleza uhuni huo dhidi ya NCCR na CHAUMA.
Hii si sawa!!
TBC imekuwa ni chombo cha habari huni.
Pongezi kwenu Chadema kwa hatua mlizochukua.
 
Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe

Hivi wataacha lini huu uhuni?
Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii
Mbona hata Rungwe alipo anza tu kuinanga serikali/ccm walimkata. Hata sijui wana faida gani
 
Hakuna media pale Ni takataka tu na kupoteza pesa za walipa Kodi


Kama Kuna kitu kinatakiwa kufumiliwa haraka basi ni hawa tbc ni wahujumu uchumi wakubwa wa nchi hii.
 
Yaani TBC wapuuzi sana.
Napendekeza vyama vya upinzani vyoote wawapige marufuku kwenye mikutano yao.
Wabaki na Ccm yao.

Hopeless kabisa
 
wasiende LIVE kwenye kampeni zozote.

..Na mikutano ya vyama vyote ifanyiwe editing kabla ya kurusha.

..vinginevyo wataendelea kuwakera watu.

Kama hamtaki kumkera Boss wenu bora muwe mnatupa matukio kwa Taarifa Za Habari kuliko mnacho kifanya

Chadema hawakukosea kuwatimua Mnaboa na Ushamba Wahali Yajuu
 
Ha ha haaa. Si waliona CHADEMA ni mtoto wa Kambo? Sasa hiyo ndo rangi halisi ya TBC. Wakati Samia akisema askari akipiga risasi tatu asipoua atakuwa sio askari wa CCM, TBC and the team waliona sawa. Loe wakiambiwa waache kuua bila sababu TBC wanaona nongwa. Iko siku watavunjwa miguu.
 
Hao bora kupigwa marufuku mikutano yote ya wapinzani
 
Back
Top Bottom