Mkwaruu Kombo-Tapa
Member
- Aug 1, 2020
- 62
- 60
Nashangaa wamekata sauti kwa mgombea Years wa Nccr Magezi.Na inaoneka sauti inakatwa pale Mgombea anapoongea mazuriKama mnawakata sauti wapinzani bora tu msirushe matangazo ya kampeni zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa wamekata sauti kwa mgombea Years wa Nccr Magezi.Na inaoneka sauti inakatwa pale Mgombea anapoongea mazuriKama mnawakata sauti wapinzani bora tu msirushe matangazo ya kampeni zao.
chagu wa malundeHii tabia sijui inaendelezwa kwa mamlaka au amri ya nani
Leo tena wamewazimia tena nccr jamaa mgombea alivyoanza tu kusema huu utawala ni mbaya......sauti ikapotea ikawa hawarushi sauti
Ni aibu sana kwenu tbc
Shame on you tbc sio poa mnavyofanya mbona chama tawala hamuwazimii sauti jamani?
KabisaNdio maana walifukuzwa.na Chadema[emoji3]
Si mlisema TBC hamuangalii wala kuisikiliza? Wapinzani bwana tumbavu kabisa!!Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe
Hivi wataacha lini huu uhuni?
Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii
Update
Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko
Hawa majamaa hawaaminiki kabisa
I
Si wanalipwa kwa kodi zetuu?Si mlisema TBC hamuangalii wala kuisikiliza? Wapinzani bwana tumbavu kabisa!!
Tusiwaumu Tbc alaumiwe aliye juu yao na aliyekalia kiti cha enzi .Hao bora kupigwa marufuku mikutano yote ya wapinzani
Ila kweli Mkuu, wao wanafata tu orderTusiwaumu Tbc alaumiwe aliye juu yao na aliyekalia kiti cha enzi .
Mie naona Membe ndo hakujiandaa kabisa. Hivi kafanya mkutano hata mmoja?Hivi mzee Rungwe yupo serious kweli!!? Mbona kama anafanya utani .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote ni vibaraka vya ccm, kwendraaaaaaaaaa!