Uchaguzi 2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

Uchaguzi 2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo.

Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja.

Hongereni TBC kwani mtoto akinyea mkono hauukati.

Maendeleo hayana vyama!
 
CHADEMA, TBC, NEC na Jukwa la Wahariri walikutana Kwa ajili ya kujadili yaliyotokea siku ya Uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA na kukubaliana Mambo kadha wa Kadha na ndio maana umewaona huko.
 
Ni aibu kwa trend ya TBC ilivyo, kuitwa Television ya Taifa. Hii ni typically political propaganda wing ya CCM.
 
mwaka huu hamna kisingizio ...CCM ushindi ni asilimia 98
 
Hakuna haja ya kuwapongeza wapuuzi hawa waache wakose watazamaji.
 
Back
Top Bottom