Ile incidence ilikuwa ina madhara makubwa kwa TBC kama chombo cha habari kinachotumiwa na wateja wa itikadi tofauti kwa matangazo ya biashara n.k.
Ndiyo maana ili kukinusuru ikabidi wamuombe Balile awakutanishe na Mbowe ili kulimaliza.
Ryoba aliyasema haya kwa kinywa chake mwenyewe.