MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Usijitoe ufahamu! tbc kuonyesha mkutano wa kampeni wa chadema sio hisani! kumbuka watu walioko chadema ni watanzania, na wanalipa kodi, na tbc inaendeshwa kwa kodi za watanzania! Nazani tbc walipaswa kushitakiwa! maana wanatumia vibaya kodi za watanzania!Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo...