johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata kama wanafukuzwa?!..Sio uungwana wala hisani. Wao kama televisheni ya taifa, ni wajibu wao kuonesha mikutano ya kampeni ya vyama vyote bila upendeleo
Hayo ya kufukuzwa walishapatanishwa mbona?Hata kama wanafukuzwa?!
Chadema ndio walitubu!TBC waliomba msamaha
ThubutuuuuChadema ndio walitubu!
Jidanganye tuHuo ndio ukweli mchungu bwashee!
Chadema wametubu.
Hadi wewe umesoma!!!Duuu, ujinga ni mzigo. Yaani hadi unaweka mada juu ya jambo hili!!!!!!!!