Wamechukiwa bure na Kila mtu? Tangu lini? Yaani wewe na wanaharakati wenzio wachache mkiichukia TBC ndiyo Kila mtu?Wafate maadili ya uandishi wa habari. Huwezi kuchukiwa bure na kila mtu, ukiona hivyo ujue una tatizo.
Kwani baada ya mazungumzo nani anamfuata mwenzake?TBC waliomba msamaha
Chadema ndio walitubu!
Wewe huwezi kuelewa maana hujasomaWamechukiwa bure na Kila mtu? Tangu lini? Yaani wewe na wanaharakati wenzio wachache mkiichukia TBC ndiyo Kila mtu?
TBC ni mali ya umma, na bosi wake ni wananchi, bosi akiona kuna mambo hayapo sawa katika utendaji kazi anayo haki yakukutimua. Lakini walifanya jambo jema kuzungumza na baadhi ya mabosi wake nakuondoa tatizo. Na wakizingua tena wanaondoka, mwaka huu hakuna kubembelezana.Hata kama wanafukuzwa?!
Afadhali Mimi nisiyesoma na ambaye nasema TBC haichukiwi na Kila mtu kuliko wewe uliyesoma unayesema TBC inachukiwa na Kila mtu..Wewe huwez kuelewa maana hujasoma
Maendeleo hayana vyama kivipi wakati mgombea anasema mkinichanganyia vyama mtajuta, chama kwanza mtu baadaePamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo.
Thibitisha mkuuHuo ndio ukweli mchungu bwashee!
Chadema wametubu.
Too low ... kama ushabiki wa Simba na Yanga ... ndio utegemee GT wa kuleta maendeleo! Just thinking..Huo ndio ukweli mchungu bwashee!
Chadema wametubu.
mwaka huu hamna kisingizio ...CCM ushindi ni asilimia 98
mwaka huu hamna kisingizio ...CCM ushindi ni asilimia 98
Huko migombani wagombea udiwani wa Chadema wanagonga kimarangu kwa kwenda mbele bwashee!Ndiyo maana kisukuma ni lugha rasmi ya kampeni kwenye kanda pendwa.
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo...
Wameonyesha mkutano au wameripoti mkutano weka sawa tafadhaliPamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo...