TBC ni ya mtu binafsi, chama, Serikali au wananchi?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.

TV ni ya mtu binafsi au ya wananchi.
 
Soon huenda Bunge ama waziri wa habari watatunga sheria na kanuni kulazimisha iwe amri mkuu akiongea radio na tv zote wajiunge na TBC mubashara.
 
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.

TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi
Kishindo cha awamu ya ✋
Tunatekwleza
Papo kwa papo

Jibu unalo mmiliki ushamjua tayar eh
 
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.

TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi
Mkuu mpaka nchi hivi sasa ni ya mtu binafsi!
 
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.

TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi
Unaanzje kutazama hiyo tv mkuu
 
Jibu sahihi: TBC ni ya Mtu Binafsi na pia ni ya Chama. Ila siyo ya Wananchi! Jakuna Mwananchi mwenye uwezo wa kuimiliki hiyo TBC!!
 
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.

TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi

Ya mfalme Juha.
Ila kila jambo lina mwisho wake.
 
Back
Top Bottom