Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Kishindo cha awamu ya ✋Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.
TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi
Mkuu mpaka nchi hivi sasa ni ya mtu binafsi!Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.
TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi
Unaanzje kutazama hiyo tv mkuuMtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.
TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye tu na kusifiwa hadi kwenye matangazo.
TV Ni ya mtu binafsi au ya wananchi