JPM alikuwa ana ladha kwny Hotuba zake hasa yale Makavu mf. Kama hutaki kulipia huduma ya Choo baki na Mavi yako nyumbani
Pia alikuwa real sana bila ya kusahau pamoja na ukali wote still alikuwa Rais mcheshi sana hakosi kutania tania ila samia si mkali ila kauzu hana utani wala bashasha kwny Hotuba
Pia alikuwa real sana bila ya kusahau pamoja na ukali wote still alikuwa Rais mcheshi sana hakosi kutania tania ila samia si mkali ila kauzu hana utani wala bashasha kwny Hotuba
Samia Yuko poa Sana, sema watanzania wengi inaonekana hawafuatilii hotuba zake Kama kwa Magufuli, sababu hazina drama nyingi za kufoka foka, na kujidai kujipiga kifua