Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Akili za matope, kwamba katiba mpya ni kwa ajili ya uchaguzi!Shame on you!Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria lakini wamefanikisha malengo yao!
Upinzani Zambia umeshinda bila ya katiba mpya!
Lisu na machadema mna la kujifunza!
Kama TBC wangekuwa wanalipwa kutokana na kufanya kazi bc watu wote wangependa kuangalia TBC, pia pasingekuwa na kulalamikiwa, leo hii mtu ukimkuta anaangalia tbc bc ujue hana kifurushi.TBC isingekuwa inapata ruzuku kutoka serikalini,ingekuwa imeshajifia!
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria lakini wamefanikisha malengo yao!
Upinzani Zambia umeshinda bila ya katiba mpya!
Lisu na machadema mna la kujifunza!
Ndio machadema yanvyofikri mkuu!Akili za matope,kwamba katiba mpya ni kwa ajili ya uchaguzi!Shame on you!
Hayo ndo mawazo ya viongozi na wanachama wanao faidi huko CCM.Najua wewe siyo CCM ila napenda kusema kuwa CCM ni wajinga sana. Eti wanafikiri katiba mpya ni kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi!! Katiba mpya ni ya wananchi. Tume ya Waryoba ilikusanya maoni ya wananchi 2015. Hiyo haikuwa kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi.
Ndio maoni na mtazamo wako binafsi nauheshimu.Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria lakini wamefanikisha malengo yao!
Upinzani Zambia umeshinda bila ya katiba mpya!
Lisu na machadema mna la kujifunza!
Taliban wamejizolea point 3 za nyumbani
sijawahi sikia mahali wanasema katiba ni kwa ajili ya kushinda urais nopeNdio machadema yanvyofikri mkuu!
Yani ukiyauliza mnataka katiba mpya ili iweje? Yanakwambia ili kushinda urais
ucngzie chadema, nyie ccm ndo mnajua hvyo kuwa katiba mpya ikipatikana basi upinzani wanachukua nchi na ndo maana hamuitaki hata kuickiaNdio machadema yanvyofikri mkuu!
Yani ukiyauliza mnataka katiba mpya ili iweje? Yanakwambia ili kushinda urais
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎNdio machadema yanvyofikri mkuu!
Yani ukiyauliza mnataka katiba mpya ili iweje? Yanakwambia ili kushinda urais