TBC Tanzania badilikeni, hiyo ni televisheni ya taifa -- vyama vyote vina haki sawa

TBC Tanzania badilikeni, hiyo ni televisheni ya taifa -- vyama vyote vina haki sawa

Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo

[emoji117]TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI
[emoji117]Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua
[emoji117]Watazamaji Wakipungua hamtapata Matangazo
[emoji117]Mkikosa Matangazo Mtakufa na Mtafunga
[emoji117]Mwisho Akawaomba Wafuasi Wake WASILIPE VISASI

TBC Tanzania BADILIKENI hiyo ni TELEVISHENI ya TAIFA VYAMA vyote Vina HAKI Sawa kwani Wanachama na Wafuasi Wao WANALIPA KODI KODI hailipwi na Wanachama na Wafuasi wa CCM tu
TBC BADILIKENI

Hongera sana Rais Mteule kwa UJUMBE

View attachment 1895318
Hiyo ni Zambia sio Tanzania.
 
Najua wewe siyo CCM ila napenda kusema kuwa CCM ni wajinga sana. Eti wanafikiri katiba mpya ni kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi!! Katiba mpya ni ya wananchi. Tume ya Waryoba ilikusanya maoni ya wananchi 2015. Hiyo haikuwa kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi.
Naona umemgonga kwa nidhamu sana. Hii ni nzuri, kwa sababu kama yuko vizuri upstairs, inamkolea zaidi IDEGENDA
 
Ndio machadema yanvyofikri mkuu!

Yani ukiyauliza mnataka katiba mpya ili iweje? Yanakwambia ili kushinda urais
Wewe ni mjinga,ungehudhuria kongamano la CDM hata moja kuhusu katiba ungeelewa ni wanapigania!
 
Back
Top Bottom