Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

TBC Imekaa kizee kizee what hell!

Jana mchana walifanya mahojiano na Adam Mchovu nikajua wanatafuta kiki hili shirika kweli limesha kufa!

Lifumuliwe liundwe upya na jina lingine
 
sikumbuki mara ya mwisho kuangalia hii chanel,kumbe bado ipo??!
 
TBC ifugwe tu
TBC inaboa sana na haina mvuto ata kwa wana CCM
 
Mimi kinacho lnikera katika channel yao ni kuchanganya habari wakati wa kuripoti na picha zao zinaonekana kama za karne ya 19....
 
Waripoti hali halisi siyo propaganda ya kutukuza CCM na watukufu wake .
 
Watazunguka sana ila kizizi kaondoka nacho Tido aka Sir Alex Ferguson wa bongo.
 
TZ+TV+Ratings.jpg
Hii ni ratings za 3Q ya TV za hapa nchini

Source: GeoPoll
 
Tangu atome Tido Mhando hakuna tena tv, wamekosa mvuto kutokana na kukubali kutumika kisiasa na kutoa habari za upande mmoja tu na zile zenye ukakasi hawatoi wanaogopa kutumbuliwa.
 
Wakamuombe radhi Tido Mwana wa Muhando kijana aliyekuwa Mzalendo wa kweli akapigwa majungu na vihiyo akina Mikamba sijui haaaa
 
Back
Top Bottom