MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,143
Naikumbuka RTD ya zamani ya akina Bakari Msulua kwenye kipindi cha majira. Nilikua nikisikia ile ngoma yao najua ni mida ya kwenda shule, huku Malima Ndelema nae akipagawisha, Tumbo Risasi na Abisai Steven wakiwakilisha Kigoma na Songea, Chaz Hilary akitangaza mpira, Angalieni Mpendu na Chokinohera wakinogesha