HahahaPoor Brain ,shida ni nini hapo TBC. Au Mpo na hangover 😁😁😁😁
Kwa taarifa yako hakuna hata mmoja aliyesema kweli kwenye hilo. Kuanzia marehemu, mkuu wa majeshi hadi hao TBC. Wote kila mmoja ametoa tarehe ya kukadiria na sio tarehe ya kweli.Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia" tumeelewa kwamba huko katika sekta ya familia pia alitumikia taifa vizuri. Makamanda wote ni waumini wa moja kati ya "WWW"
View attachment 3138564
Nilitaka kusema hili pia, what if mkuu wa majeshi ndio kakosea....Kwa taarifa yako hakuna hata mmoja anayesema kweli kwenye hilo. Kuanzia marehemu, mkuu wa majeshi hadi hao TBC. Wote kila mmoja ametoa tarehe ya kukadiria na sio tarehe ya kweli.
Si ndio hapo sasa. Nijuavyo mimi kwa miaka hiyo na hasa kwa waliozaliwa huko vijijini, ilikuwa ni nadra sana watu kujua tarehe zao halisi za kuzaliwa. Sana sana watu walikuwa wanakadiriwa miaka kutokana na kutaja matukio yaliyokuwa karibu na simulizi zao au wazazi wao.Nilitaka kusema hili pia, what if mkuu wa majeshi ndio kakosea....
Hauko sahihi .Kazi za kupeana bila kuzingatia weledi na taaluma haya ndio matokeo yake
Afandw Msuguri alipunguza umri ili aendelee na kazi, nyie hamjui tu.Kama alizaliwa 1925 ina maana amefariki akiwa na miaka 99 na kama alizaliwa 1920 amefariki akiwa na miaka 104.