Jambo la kufikirika ni lile lisilo na uhalisia wakati suala la umri kwa watu wa zamani uhalisia ni kwamba majority umri wa kwenye makaratasi sio sahihi!!Unaona bora uamini mambo ya kufikirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la kufikirika ni lile lisilo na uhalisia wakati suala la umri kwa watu wa zamani uhalisia ni kwamba majority umri wa kwenye makaratasi sio sahihi!!Unaona bora uamini mambo ya kufikirika
Daaah sina neno ila daaah acha sana mkuu acha tuuPoor Brain ,shida ni nini hapo TBC. Au Mpo na hangover 😁😁😁😁
Mwaka 2020 waliandika marehemu kusherehekea birth day ya miaka 100Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia" tumeelewa kwamba huko katika sekta ya familia pia alitumikia taifa vizuri. Makamanda wote ni waumini wa moja kati ya "WWW"
View attachment 3138564
Upo sahihi sana.Jeshi ndio lina jalada lake akiwa katika ajira, ye ye binafsi ndiye ali-disclose umri wake kwa jeshi
Hatari sana.Mwaka 2020 waliandika marehemu kusherehekea birth dayya miaka 100
Leo tena MMJ inaandika tofauti!
Nadhani TBC wako sahihi, ila MMJ ndiyo waliolikoroga.