Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ukiona hivyo ujue kuwa hiyo 1920 ndo sahihi zaidi kuliko 1925.Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia" tumeelewa kwamba huko katika sekta ya familia pia alitumikia taifa vizuri. Makamanda wote ni waumini wa moja kati ya "WWW"
View attachment 3138564
Viwango vimeshuka, kila sehemu. Sijui tutafikia kilele cha kushuka lini, ili tuanze kujenga upya. Tusipo bahatika, tutabaki huko huko chini, mithili ya Haiti!Hata magazeti yao hivyo hivyo makosa kibao yaani wahariri wa hovyo sana
Kila wakiandika makosa ya kijinga sana unaona tena front page kabisa
Tumewazoea maana hata wa kuwakosea ni wale wale hawaoni makosa kabisa kwa sababu aidha kubebana makazini au mbumbumbu tu
Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia" tumeelewa kwamba huko katika sekta ya familia pia alitumikia taifa vizuri. Makamanda wote ni waumini wa moja kati ya "WWW"
View attachment 3138564
Atkuwepo kwenye mazishiMkuu wa Majeshi Mstaafu ni Generali mwandamizi kuliko wote aliyekuwa hai ; INASIKITISHA SANA AMIRI JESHI MKUU ambaye ameondoka kwenda marekani analeta dharau kwa kumtuma Naibu Waziri Mkuu ( cheo Bandia) kumuwakilisha kwenye tukio zito kama hilo ….. angalau kama kashindwa angemtuma MAKAMU WA RAIS
HII inaonyesha ni Aidha Rais mwenyewe hajui uzito wa Generali Musuguri au tu wasaidizi wake wameamua kufharau au hawajaiva kimfumo
Mara zote misiba ya afisa na kamanda mpiganaji wa level ya CDF kama Rais yupo nchini wanatakiwa kufika yeye mwenyewe au msaidizi wake mkuuu.
Hizi ni dharau !!!!
Jeshi ndio lina jalada lake akiwa katika ajira, ye ye binafsi ndiye ali-disclose umri wake kwa jeshiUkiona hivyo ujue kuwa hiyo 1920 ndo sahihi zaidi kuliko 1925.
Miaka ya nyuma umri wa kuzaliwa ulikuwa una chakachuliwa kirahisi kwa sababu mbalimbali!
Tusubiri Ila Angeshangaza sana kama hivo Sawa ; ila kwa hadhi hiyo ingefaaa Makamu wa Rais amuwakilishe kwa Dar es Salaaam … kuliko kutuma mtu junior haileti heshima au imeshindikana Rais Mstaafu Atoshe kwa Dar ….Atkuwepo kwenye mazishi
Tanzania a failed stateWahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia" tumeelewa kwamba huko katika sekta ya familia pia alitumikia taifa vizuri. Makamanda wote ni waumini wa moja kati ya "WWW"
View attachment 3138564
Rekodi nyingi za awali zinasema Musuguri alizaliwa 1920.Si ndio hapo sasa. Nijuavyo mimi kwa miaka hiyo na hasa kwa waliozaliwa huko vijijini, ilikuwa ni nadra sana watu kujua tarehe zao halisi za kuzaliwa. Sana sana watu walikuwa wanakadiriwa miaka kutokana na kutaja matukio yaliyokuwa karibu na simulizi zao au wazazi wao.
Nikiulizwa nimwamini nani kati ya TBC na TPDF, bila kusita nitawaamini TBC kwa sababu TPDF wanatumia rekodi za kazi ambazo kwa miaka ya zamani watu wengi taarifa za umri wao hazikuwa sahihi!! Na ukiangalia rekodi nyingi online zinaonesha alizaliwa 1920; kwahiyo inawezekana yeye mwenyewe aliwahi kufanya mahojiano hapo zamani, hususani baada ya kustaafu na alipoulizwa alizaliwa mwaka gani, akataja hiyo 1920 na ikawa ndo public knowledge huku JWTZ wakibaki na official work records. Na kwa upande mwingine, sitashangaa nikisikia miaka yote hiyo ni ya kubahatisha tu!Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
PoleeAt least you could have done your homework to know the meaning of a failed state
Unaona bora uamini mambo ya kufikirikaNikiulizwa nimwamini nani kati ya TBC na TPDF, bila kusita nitawaamini TBC kwa sababu TPDF wanatumia rekodi za kazi ambazo kwa miaka ya zamani watu wengi taarifa za umri wao hazikuwa sahihi!! Na ukiangalia rekodi nyingi online zinaonesha alizaliwa 1920; kwahiyo inawezekana yeye mwenyewe aliwahi kufanya mahojiano hapo zamani, hususani baada ya kustaafu na alipoulizwa alizaliwa mwaka gani, akataja hiyo 1920 na ikawa ndo public knowledge huku JWTZ wakibaki na official work records. Na kwa upande mwingine, sitashangaa nikisikia miaka yote hiyo ni ya kubahatisha tu!
Hu yo cdf wenu ndo tatizo.Msuguli as mama 104 na imeandikwa wakati yuki haiKama alizaliwa 1925 ina maana amefariki akiwa na miaka 99 na kama alizaliwa 1920 amefariki akiwa na miaka 104.