Yule mpumba.vu sana, anatanguliza mapenzi anasahau hata miiko ya kazi yake.Wale wenzangu na Mimi tuandae masikio tukamsikilize Bwana mdogo Nazareth Upete a.k.a team Messi akitangaza mubashara mbungi hii.
Ni saa nne juu ya alama atatuhabarisha. Wale wa DSTV nyie mabosi mtuache na chanel yetu pendwa.
Una tumia Tv aina gani? Inch ngapi? Na kisimbusi gani?TBC
1. Inaumiza macho
2. Watu wapo kama wananyata
3. Haiko clear
Tafuteni hela aisee,, World Cup haionyeshwi Tibisii
Sina chochoteUna tumia Tv aina gani? Inch ngapi? Na kisimbusi gani?
Umri wake bado mdogo anamengi yakujifunza huenda akikua ataachaYule mpumba.vu sana, anatanguliza mapenzi anasahau hata miiko ya kazi yake.
La Messi lanbababa labababab lalgentine hawezagi kujikaza akiona mesi anacheza lazima amsifie.Yani huyo mtangazaji jana alijitahidi bila kuweka manjonjo ya Messi mwishoni akashindwa akaamua kujiachia hahahah mwanzoni alikua akisema utasikia nikisema nitaambiwa namsifia sana Messi...
Na kiarabu chake cha mwendokasiLa Messi lanbababa labababab lalgentine hawezagi kujikaza akiona mesi anacheza lazima amsifie.
Tusipokuwepo wazalendo Tibisii itaangaliwa na nani??TBC
1. Inaumiza macho
2. Watu wapo kama wananyata
3. Haiko clear
Tafuteni hela aisee,, World Cup haionyeshwi Tibisii
Ulaivu na udiesitivii hapo unahusikaje hahaaa usinichekeshe mtaniJf kila mtu ana dstv
Shughuli ukija kumuona live mtu mwenyewe
226 na 225 Dstv kitu HD hapaTBC
1. Inaumiza macho
2. Watu wapo kama wananyata
3. Haiko clear
Tafuteni hela aisee,, World Cup haionyeshwi Tibisii
Ujue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza machoUlaivu na udiesitivii hapo unahusikaje hahaaa usinichekeshe mtani
Mkuu mbona ni King'amuzi cha kawaida tu,bei ya kununua na hata vifurushi vyake vipo vya sie masikiniJf kila mtu ana dstv
Shughuli ukija kumuona live mtu mwenyewe