Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kiarabu cha mchongo
Na kiarabu chake cha mwendokasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kiarabu chake cha mwendokasi
Afu kuna mtangazaji anaongea mataputapu sanaTBC
1. Inaumiza macho
2. Watu wapo kama wananyata
3. Haiko clear
Tafuteni hela aisee,, World Cup haionyeshwi Tibisii
😂😂😂😂..na hi ndiyo jf bana🤣🤣🤣🤣Ujue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live
Jf kwa maigizo hatujambo hahah
Jamaa falla sana huyoLa Messi lanbababa labababab lalgentine hawezagi kujikaza akiona mesi anacheza lazima amsifie.
😂😂😂😂 watakuja wakwambie unapiga kelele na huna hata startimesAfu kuna mtangazaji anaongea mataputapu sana
Sijaona wa kunitishia hapa bado hajazaliwa😅😂😂😂😂 watakuja wakwambie unapiga kelele na huna hata startimes
Kuangalia mpira kupitia TBC ni ufukara. TBC sio high definition multimedia channelWale wenzangu na Mimi tuandae masikio tukamsikilize Bwana mdogo Nazareth Upete a.k.a team Messi akitangaza mubashara mbungi hii.
Ni saa nne juu ya alama atatuhabarisha. Wale wa DSTV nyie mabosi mtuache na chanel yetu pendwa.
😂😂😂 kwani si kweli inaumizaUjue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live
Jf kwa maigizo hatujambo hahah
😃😃😃 mkuuKuangalia mpira kupitia TBC ni ufukara. TBC sio high definition multimedia channel
Vipi dstv yako wewe ipo?😂😂😂😂..na hi ndiyo jf bana🤣🤣🤣🤣
Niitoe wapi..😂😂😂😂 mambo ya matajiri hayo.Vipi dstv yako wewe ipo?
TBC inaumiza macho rafiki au hujaskia hapo? Watu ngoja tukalipie af99 nyie tulieni hapo kwenye uzalendoNiitoe wapi..😂😂😂😂 mambo ya matajiri hayo.
😂😂 Team uzalendo nipo hapa..kalipie tu rafiki ushindi ni ule ule.TBC inaumiza macho rafiki au hujaskia hapo? Watu ngoja tukalipie af99 nyie tulieni hapo kwenye uzalendo
Kalipie mkuu labda matokeo yatakua tofauti. Jana huku TBC alikufa Morocco vipi huko DSTV mliona Kama sisi?TBC inaumiza macho rafiki au hujaskia hapo? Watu ngoja tukalipie af99 nyie tulieni hapo kwenye uzalendo