Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
😀 😀 😀 😀Ujue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live
Jf kwa maigizo hatujambo hahah