TBC watakua mubashra mechi ya Morocco dhidi ya Ufaransa

TBC watakua mubashra mechi ya Morocco dhidi ya Ufaransa

Ujue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live

Jf kwa maigizo hatujambo hahah
😀 😀 😀 😀
 
Kumbeee alaah sasa nimeelewa
Haya mambo usichujulie sana serious.
20221214_210521.jpg
 
Hata DSTV ina channel ya TBC, wale ambao hatujalipia tunatiririka live na TBC bure kabisa kupitia DStv
Mi sijalipia DStv,game ya Croatia vs Argentina sijaona,kila nikiitafuta tbc sioni,mabwege wameitoa, Morocco nimeenda Banda umiza
 
Back
Top Bottom