TBC watakua mubashra mechi ya Morocco dhidi ya Ufaransa

TBC
1. Inaumiza macho
2. Watu wapo kama wananyata
3. Haiko clear

Tafuteni hela aisee,, World Cup haionyeshwi Tibisii
Afu kuna mtangazaji anaongea mataputapu sana
 
Ujue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live

Jf kwa maigizo hatujambo hahah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..na hi ndiyo jf bana🀣🀣🀣🀣
 
Wale wenzangu na Mimi tuandae masikio tukamsikilize Bwana mdogo Nazareth Upete a.k.a team Messi akitangaza mubashara mbungi hii.

Ni saa nne juu ya alama atatuhabarisha. Wale wa DSTV nyie mabosi mtuache na chanel yetu pendwa.
Kuangalia mpira kupitia TBC ni ufukara. TBC sio high definition multimedia channel
 
Ujue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live

Jf kwa maigizo hatujambo hahah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani si kweli inaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…