TBC yarusha kipindi maalumu kumuenzi marehemu Injinia Kamuhaba wa Bwawa la Nyerere aliyeugua kwa muda mfupi

TBC yarusha kipindi maalumu kumuenzi marehemu Injinia Kamuhaba wa Bwawa la Nyerere aliyeugua kwa muda mfupi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
TBC leo imerusha kipindi maalumu cha kumuenzi aliyekuwa Msimamizi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Injinia Kamuhaba aliyefariki January 19 katika hospitali ya muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Injinia Kamuhaba alikuwa mwafrika wa kwanza nchini kusimamia mradi mkubwa wenye thamani ya zaidi ya tsh 6.6 trillioni.

Rip Kamuhaba.

Maendeleo hayana vyama!
 
What a tragedy. What a loss!

Kuna sababu zozote, mbali ya yeye kuwa "msimamizi wa ujenzi" iliyofanya TBC wajihusishe kwenye msiba?

Toka January 19, hadi Feb. 16. Kulikuwa na jambo gani?
 
RIP Hilo bwawa ingependeza lipewe jina lake kuenzi mchango wake katika ujenzi wake Engineer Dr. Prof. Kamihaba Mega Dam.
 
Weka ata picha tumuenzi tukiwa ata na idea ya sura yake
 
Hii itakuwa ilikuwa ni ajali ya boda boda waliyochelewa kuitangaza tu.

Na bado. Hadi pale kutakapopiga kimya kama ishara ya kuwa nasi tumepumzika kwa amani.

Aliowashabikia wakati tukiitisha kusimama kwa miradi ndiyo hao waliomtelekezea gonjwa nafasi ya kuwaasa hanayo tena.

Tamaa mbele mauti nyuma.

Cc: wabunge na wateuliwa wote.

Beberu anasema - "they've got it coming!"
 
Hii itakuwa ilikuwa ajali ya boda boda.

Na bado. Hadi pale kutakapopiga kimya kama ishara ya kuwa nasi tumepumzika kwa amani.

Aliowashabikia wakati tukiitisha kusimama kwa miradi ndiyo huyo aliyetelekezewa gonjwa.

Nafasi ya kuwaasa hanayo tena.

Tamaa mbele mauti nyuma

Cc: wabunge na wateuliwa wote.
 
Hii corona sorry changamoto ya upumuaji itaturudisha kwenye zama za mawe za mwanzo
 
Rest om Peace Engineer...ni nini cha mno? changamoto ile ile ya kwetu.
 
Back
Top Bottom