johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Ndio huyo huyo!Kamuhaba au Kamuhabwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo huyo!Kamuhaba au Kamuhabwa?
Kuugua kwake kwa changamoto ya kupumua kutokana na pneumonia wala kifo chake havikutangazwa leo mwezi mmoja baada ya tukio wanatangaza kumbukumbu ya kifo chake wanafanya hivyo kusingizia kusuasua Mradi kunatokana na kuondokewa na mtaalamu wa kwanza mwafrika duniani kusimamia mradi mkubwa kama Stiegler's Gorge. Mtaalamu wa kufukiza alikuwepo na madege yapo, kwa nini hawakumuwahisha kwenye matibabu ya uhakika?What a tragedy. What a loss!
Kuna sababu zozote, mbali ya yeye kuwa "msimamizi wa ujenzi" iliyofanya TBC wajihusishe kwenye msiba?
Toka January 19, hadi Feb. 16. Kulikuwa na jambo gani?
FcDeportivo la corona