johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo ndo akili yako ilipogotaBavicha kazini!
Covid inazalisha ajira kuliko serikali. Nyungu nyungu therapy inaangamiza watanzania.Covid inafyeka wataalam, mwishowe itakuwa tragedy kubwa sana kwa Taifa!
Wewe unaonaje?Hii taarifa ya kuisifia TBC au taarifa ya msiba?
Right on the point!Covid inazalisha ajira kuliko serikali. Nyungu nyungu therapy inaangamiza watanzania.
nasikia jamaa wanaongoza ligi...balaaDeportivo la corona
Atajwe kabisa kwenye somo jipya la History ya NdalichakoRIP Hilo bwawa ingependeza lipewe jina lake kuenzi mchango wake katika ujenzi wake Engineer Dr. Prof. Kamihaba Mega Dam.