Kuugua kwake kwa changamoto ya kupumua kutokana na pneumonia wala kifo chake havikutangazwa leo mwezi mmoja baada ya tukio wanatangaza kumbukumbu ya kifo chake wanafanya hivyo kusingizia kusuasua Mradi kunatokana na kuondokewa na mtaalamu wa kwanza mwafrika duniani kusimamia mradi mkubwa kama Stiegler's Gorge. Mtaalamu wa kufukiza alikuwepo na madege yapo, kwa nini hawakumuwahisha kwenye matibabu ya uhakika?