Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida, ikiwezekana wazime kabisa matangazo yao, mbona tutaangalia kupitia STAR TV, live wao wanaonyesha
ha ha haaa
Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka.
Badala yake TBC1 watarekodi na kuonesha katika kipindi maalum usiku kuanzia saa nne hadi saa tano.
Hii itanyima wanchi fursa ya kuona kinachoendelea Bungeni.
sababu nyingine wananchi ndio wametoa huo ushauri, sijui ni wananchi wa north Korea hau wapi!!
Hii nayo kali aisee
Nmemsikiliza nkachoka
Tv ya Taifa inashindwa kurusha matangazo ya bunge kweli
Hapana aisee hii serikali yaanza nitia shaka