TBL na Serengeti Bia

Soma tena ulichoandika, halafu soma tena.

Wapiga kura...

MJ

MJ mkulu sana,

Achana na mbwiga hao, rudi kwenye thread ya Nobel Peace Prize tuendelee kukata Issues.

Watu hawana data wanamwaga upupu tuu, angalia member wote wa maana hawako kwenye hii thread....waachie wapiga kura.

Adios nakusubiri kule.
 
I don't care kama owner ni asian or my cousin mjasiriamalishupavu. Nachotaka mimi ni ulabu wenye akili. Na ulabu huo ni Serengeti lager. Kwishnei!
 
What's the top selling beer in Tanzania...

1.Safari
2.Kilimanjaro
3.Tusker
 
What's the top selling beer in Tanzania...

1.Safari
2.Kilimanjaro
3.Tusker

Tumekupata Bwana Minja, mkuu wa kitengo cha marketing! If you such a leader in the market why then mnang'oa mabango na kuwaonga wenye mabaa na mameneja wasiuze bia ya serengeti? Jana nimepita Sunguchini baa Sinza, meneja kawachomolea!
 
Waliosoma IST utawajua tuu.

Kwani wewe mkata ishu ulisoma wapi? Si kila mzungu padri! Hahitaji kusoma IST ndo uwe na upeo. Wewe kama ulikuwa unaogopa umande, shule unaenda kwa ku-beep, matokeo yake ukawekwa la VIIB, imekula kwako! Bora ulisoma Computer course pale Msimbazi kama si magomeni ndio maana tupo wote jamvini! Sisi wengine zilikuwa part ya subjects.
 
Waliosoma IST utawajua tuu.

kwikwikwi....lol

Mwananyamala kwa mzimuni Primary Skuli...sasa hivi kala shavu anafanya kazi ya kuuza computer kwa muhindi pale Jamuhuri street....******* akijua kuwa muda wote yuko kwenye mtandao kazi kwisha...

MJ
 
MJ mkulu sana,

Achana na mbwiga hao, rudi kwenye thread ya Nobel Peace Prize tuendelee kukata Issues.

Watu hawana data wanamwaga upupu tuu, angalia member wote wa maana hawako kwenye hii thread....waachie wapiga kura.

Adios nakusubiri kule.

Sawa bwana wazee wa IST, wataalamu wa kukata ishu! Hamjaacha mtindo wa kupenda kufanya maswali magumu ili muonekane mna akili nyingi? Nyie ndio mlikuwa mnalazimisha kusoma masomo ya sayansi ilimmuonekana mna akili mkasahau dunia inaoongozwa na wengi wasio wanasayansi!
 
kwikwikwi....lol

Mwananyamala kwa mzimuni Primary Skuli...sasa hivi kala shavu anafanya kazi ya kuuza computer kwa muhindi pale Jamuhuri street....******* akijua kuwa muda wote yuko kwenye mtandao kazi kwisha...

MJ

Blackberry kaka!
 
Sasa MJ Unazungumziaje Obama kupewa Nobel Peace Prize he guy is only nine month in the office, he hasnt done nothing yet..
 
Sales Representative wa Serengeti brew, Nasikia December mnaongezewa msharaha...piga kazi ndugu labda wahindi watakupa shavu.

MJ

TBL mmezamilia hadi inside information za kupandishiwa mshahara mwazijua?

Sihitaji kuajiliwa mkuu, wewe unawaza ajira? au hujasoma jina langu vizuri! Nyie ndio mlikuwa mnakalili tu darasani. Sunguchini ni baa yangu toka nikiwa chuoni, by the way iko karibu na lodgemoja nzuri sana inaitwa blue rose
 
Sasa MJ Unazungumziaje Obama kupewa Nobel Peace Prize he guy is only nine month in the office, he hasnt done nothing yet..

Na unazungumziaje JK kuitwa Dr. while he has not written any thesis? Don't be so westernised? Unajiona uko juu kumjadili Obama, na ndo unaita kukata ishu????????????????? Ukiongelea ya hapa Tz si kukata ishu? Wazee wa mabox mna mambo nyie!!!!!!!!
 
Sasa MJ Unazungumziaje Obama kupewa Nobel Peace Prize he guy is only nine month in the office, he hasnt done nothing yet..

Are U sure Mkuu? So you think you are so vigezolized than the noble people?
 
Vipi Bado niponipo? Umeingia mitini? Tuendelee na ishu yetu ya Serengeti, make hawa jamaa zako wa TBL wamenishangaza sana, badala ya kuweka effective marketing strategy, wanafanya sabotage kwa wazee wa chui!
 
Sabotage is the only weapon a looser can think of.
 
Sabotage is the only weapon a looser can think of.

And TBL is truly a sorru bunch of loosers! Corrupt, lazy, inept and stupid. Unapoamua kupoteza pesa kum-sabotage mshindani wako basi ujue uko on the verge of loosing the market! Na huwezi kushinda kamwe.
TBL should have been a great example of how privatization has helped Tanzania kumbe tunaona it is a pinnacle of corruption and sabotage. Watimuliwe SABMIller au wapadilishe menejmenti nzima.
 
You owe me 2.5 litres of cool serengeti lager. But you will have to pay for mishikakis if you'll need them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…