Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.