TBL wenzetu mmesoma shule zipi!

Nchi ina walevi wengi sana, hebu ona uzi unavyo tembea
 
Kijana unakurupuka sana... Una elimu ya kukariri madesa...
 
Ila mkuu ukiona upo unakunywa bia bar na umeanza kukagua maandishi, ujue kesho nayo siku kapumzike.
Sisi tunakunywaga tu kama tatizo tutagundua siku ya pili baada ya kupata hangover tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…