Mwananchi mwenzangu tusaidiane kushangaaa mbona issue za rushwa nje nje kila mahala, lakin utakuta pccb wanasema toa taarifa, taarifa ipi itolewe wakat inaonekana mchama kweupe.Ina maana hao takukuru bila kuandika hapa hawaoni ?
Hawana intelligence yao kujua haya mambo
Nimepata malalamiko kutoka kwa watu wengi mno !Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.
PCCB naomba mlitazame hili
Kile kitengo wangewapa NIT wenye ujuzi wao kuhusu magari wawasaidie kaziViongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.
PCCB naomba mlitazame hili
Hili la kupigia kelele mwenye namba ya boss wa pccb naomba tumuonyeshe yanayoendelea paleYani waliposema wataanza kukagua magari hapa bandarini na sio kule nilijua kutakuwa na matatizo mengi sana.
Imagine ingekuwa kule inakuwa rahisi hata supplier kufix hizo dents kwa gharama yake kabla ya shipment sasa hii ushalipia gari halafu unaambiwa gari halifai ingali limeshafika port of destination hii inaandaa mazingira makubwa sana ya rushwa na mazingira ya kuingiza magari mabovu zaidi sababu itakulazimu kuhonga pesa.
PCCB be watchful lakini Mamlaka waangalie namna ya kurudisha system ya zamani.
Wakisimamishwa huwa wakiomba leseni anatoa id yake anaachiwa anasepaMwananchi mwenzangu tusaidiane kushangaaa mbona issue za rushwa nje nje kila mahala, lakin utakuta pccb wanasema toa taarifa, taarifa ipi itolewe wakat inaonekana mchama kweupe.
Mfano niwatupie swali: hakuna hata PCCB mmoja kote nchini ana miliki gari?
Kama yupo na anamiliki gari anaendeshea barabara gani? Maana saivi trafik ni kila baada ya kilomita 50 au pengine pungufu, na gari hilo hilo linasimamishwa kila point na hakuna cga muhimu utaambiwa zaidi ya makosa wanayoyasaka PCCB.
Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.
PCCB naomba mlitazame hili
Mgao unawafikia hadi wao labda!Ina maana hao takukuru bila kuandika hapa hawaoni ?
Hawana intelligence yao kujua haya mambo