Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote yule alipewa kitengo kwa Tz hii lazima afikirie namna ya kuliga.Dawa ilikuwa ni mchakato kufanyika kulekule Japan.Kile kitengo wangewapa NIT wenye ujuzi wao kuhusu magari wawasaidie kazi
Ni ushauri tu mkipenda chukueni
Hebu yafanyie kazi kiongoziNimepata malalamiko kutoka kwa watu wengi mno !
Kweli kabisa....Yani waliposema wataanza kukagua magari hapa bandarini na sio kule nilijua kutakuwa na matatizo mengi sana.
Imagine ingekuwa kule inakuwa rahisi hata supplier kufix hizo dents kwa gharama yake kabla ya shipment sasa hii ushalipia gari halafu unaambiwa gari halifai ingali limeshafika port of destination hii inaandaa mazingira makubwa sana ya rushwa na mazingira ya kuingiza magari mabovu zaidi sababu itakulazimu kuhonga pesa.
PCCB be watchful lakini Mamlaka waangalie namna ya kurudisha system ya zamani.
Hivi SAMIA amefuta ile ELFU 5 YA KU-BRASH viatu ambayo polisi waliambiwa na JPM wachukue kwetu?Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.
PCCB naomba mlitazame hili.
Hapo PCCB hutakaa uwaone, wanasubili moaka watu watumbuliwe ndo wao uwanone, tuna Taasisi ya Hovyo dsna ya kupamvana na Rushwa, PCCB yenyewe ni tatizoYani waliposema wataanza kukagua magari hapa bandarini na sio kule nilijua kutakuwa na matatizo mengi sana.
Imagine ingekuwa kule inakuwa rahisi hata supplier kufix hizo dents kwa gharama yake kabla ya shipment sasa hii ushalipia gari halafu unaambiwa gari halifai ingali limeshafika port of destination hii inaandaa mazingira makubwa sana ya rushwa na mazingira ya kuingiza magari mabovu zaidi sababu itakulazimu kuhonga pesa.
PCCB be watchful lakini Mamlaka waangalie namna ya kurudisha system ya zamani.
Haaaa hawa ni Mbws asio kuwa na meno, wanacho subilia ni hadi ile mtu katumbuliwa ndo wao sasa wajifanye kudili naye, angali ishu ya Sabaya kea mfanoIna maana hao takukuru bila kuandika hapa hawaoni ?
Hawana intelligence yao kujua haya mambo
Sawasawa na kumpelekea fisi kesi ya kondoo.Wapelekee hela za takukuru acha kulia lia.
Ukirudi wa zamani Ni dilli ya mkurugenzi.Bora mfumo wa zamani urudi, sisi tunasumbuana sana!
Akili za Mtu mweusi,eti anaanza kufanya ukaguzi wakati Mzigo ushafika Nyumbani! Ukaguzi unatakiwa ufanyikie hukohuko sokoni,na Kama utakutana na nyanya mbovu,itakua rahisi kwa muuzaji kukubadilishia nyanya nyingine! Kwa TBS ndiyo wanatakiwa wawe na office huko Magari yanakotoka!!Wana mambo ya ajabu bora ukaguzi wa japan urudie ama wahamishiwe kule wafungue ofisi ndogo kule
Ukiwaambia Takukuru,nao watakwambia TBS ni taasisi kamili inajitegemea,hatuwezi kuwaingilia kwenye Majukumu yao!!Sawasawa na kumpelekea fisi kesi ya kondoo.