TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

Ni wivu tu
Kama no wivu sawa mkuu lakini saivi hali ndio imekuwa mbaya kabisa saivi gari unakuta kila kitu kipo poa lakini itaandikiwa kosa moja au mawili na hapo lazima 150k ikutoke
Nimegundua hawa clearence agents wanakula na wale jamaa wa tbs pale bandarini
 
Kuna watu wanaishi humu nchini kama wapo White house kwa Biden. Mtu hakosi 2m kwa siku tena za dili
 
Hapa Wajerumani lazma mtakula sana mitama😂
NISHAENDAGA NA JAMAA YANGU MMOJA
NI MWALIMU ALIAGIZA GARI,KWENYE UKAGUZI
WAKAMWAMBIA TAILI HAZIFAI AKANUNUE MPYA AWEKE,ALAFU ARUDI TENA AFANYIEWE
UKAGUZI,MWALIMU AKAPAGAWA AKAONA MBONA GHARAMA YA GAFLA TENA
nkamwambia tulia wewe ngj nkupe idea uifanye urudi (------)alirudi kitu na box 😀😀
Au unataka tuwape mtonyo watu humu mzee

Ova
 
😅😅😅😅😅😅 mlipigwa na ma afsa tu
 
Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa

Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.

PCCB naomba mlitazame hili.
Haya mapimbi haya anko Magu ndio alikuwa anayapatia...tumbua hadharani na Sheria kufuata mkondo🤔!
 
Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa

Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea na wanazipokea jioni kwa siku ya jana tu TBS magari zaidi ya 50 yote walisema yana dosari wakaomba rushwa yao usiyopungua 300k kwa kila gari.

PCCB naomba mlitazame hili.
Prado yangu ilikutwa tairi zimechakaa, nikaambiwa niweke mpya au nitoe laki 3, nikawaza tairi mpya nikawapa LAKI 3 .
wamnakula
 
Katika inspection yao wao wanaona mataili tu
Mengine hawana habari nayo....

Ila inspection wanaofanya haswa ni ukienda NIIT

Ova
Oil leakage pia Lazima wakuning'ize. Pale pesa Lazima utoe au ususe gari.
 
Hivi ICDs zinazofufuka kama uyoga baada ya Magufuli kufa hazitochepusha mapato ya bandari, maana mswahili ni mbunifu kwenye eneo moja tu la maisha yaani UPIGAJI.
 
Huku wilaya ma pccb yamechokaaaa yani huwa najiuliza haya kweli yakipewa chochote hayawezi kupokea . Gari lao bovu ofisi waliyokuwa wamepanga kodi imewashinda wameomba chumba ofisi ya mkurugenzi sasa najiuliza takijalibu kumgusa dedsi atayafukuza yakahangaike tena mtaani .yaniiiii

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Wale njaa tu..unachokotafuta na wao wanakitafuta ili waendelee ku survive..chamsingi tafuta pesa tu..hao hawawezi kukusumbua..unawaweka kwenye payroll yako..hata ukila rushwa mbele yao watabaki kucheka cheka..

Hii nchi uadilifu umepotea kwa sababu ya ccm..mana wao ndio wapokea na watoa rushwa hodari..kama unabisha fuatiria chaguzi za ndani na nje ya chama...huwa ni kipindi kizuri sanakwa wajumbe na wapambe kuneemeka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom