Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 527
- 1,136
🤣😂Wasanii wa miaka hii wa hovyo sana
🤣😂Wasanii wa miaka hii wa hovyo sana
profesa alikua mbele ya muda, na anastahili PhD ya muziki kabisa.
sio sku iz wanaimba et;-
*nasmamia kucha,
nikila mzigo usku kucha,
nashoot movie bad picture,
alaf mi ndo best future,
mastaa kibao wananiomba FEATure,
na nikiimba nawaficha,
km unipend acha,
maisha yao yamechacha,
mbion nyuma nawaacha,
kistyle nawakacha,
chenga nying ka okocha,
hamnipiti ng'o mmepga ngumi ncha,
wife kaniletea pacha,
fanya yote lakn usiwe na washkaj pancha.
comedy sana hii country.!