TBT enzi za chuo kikuu

hapana.... mipaka lazima iwepo, tunasaidiana vingine ila geto sitaki na nimeshawaambia kabisa
 
Unakuta jamaa unamheshimu kabisa lakini ndiyo anakupa hiyo hoja ya hovyo.
Dahh! Unampa gheto kishingo upande.
[emoji1787][emoji1787]kuna mpuuzi mwingine alikua kanizoea vibaya ilivyofika mda wa kulipa kodi ya miezi mingine sita nikamvutia waya nikamuomba mwana nikopeshe laki 3 imepungua kwenye kodi ila nikipata nakurudishia....mshkaj kaanza kujiganyaga oohh sina sijui nini na nini toka siku iyo yeye mwenyewe tu akaona aibu kuniomba room
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…