TBT enzi za chuo kikuu

TBT enzi za chuo kikuu

Binafsi sijawahi kuwa-entertain walevi na mafuska kwenye kitanda ninacholala. Haya mambo ya geto yananikumbusha mwaka 2009 tumemaliza Chuo hatuna kazi na tuna hali ngumu mno jijini Dar ingawa baadhi yetu walikuwa wamejiandikisha mitihani ya NBAA na wale wa IT walikuwa ni CISCO. Kuna jamaa yetu mmoja ambaye kwasasa ni Advocate mkubwa tu, ndo angalau alikuwa anajiweza weza.. ilikuwa karibu kila jumamosi tunakutana geto kwake Sinza washkaji wote. Chumba kimoja tunajazana tunasikiliza muziki kwenye subwoofer...[emoji1] kwa bahati wote tulikuja kupata kazi.
Chawa wa samia
 
Tulikuwa tunakunywa wote gheto, sasa jamaa sijui zilikimbilia chini si akajifanya kazima!!
Mimi nikaona isiwe shida muache alale, si wakaanza michezo ya ajabu [emoji23][emoji23][emoji23]

Nilivyomtishia dildo ndio akaanza kufanya kwa heshima. Alivyo fala eti anataka apige na cha pili [emoji23][emoji23]

Nikamwambia mkithubutu nawasha taa nakuwa refa pumbavu nyie
Kwa hio ukaliwa au sio 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu na akili zako fupi ungeunga kweli
Sasa wee unaaikilizia mwenzio anaugulia utramu upoo tyuuh??
Wee kuwezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wee unaaikilizia mwenzio anaugulia utramu upoo tyuuh??
Wee kuwezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dume ndio lililokuwa linaugulia, liliniboa nilitamani nimzabe kofi. Mimi nilitegemea shost angu ndiye angeulilia nijue km show kali niwajoin [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka inaenda sana kuna mtu umu alikua anaitwa nakadori alikua na threads zake za kulana na anko wake[emoji1787]saiv atakua na wajukuu tayari
 
Back
Top Bottom