LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,508
Yessir, I have no respect for Nas, and I've given my reasons. Respect is earned, not due.
Pia acha unafiki bro, nani alitumia account yako hapa chini?? Au hiyo pia ni lafudhi ya mavumbini ulipo??
Nikikudharau, nakupuuza. Nachofanya kwako ni kukusaidia bro. Nakuambia ujifunze lugha, kwa sababu ni wazi huelewi topic na unanitoa nje ya mstari kwa vitu ambavyo sijui unavitoa wapi. Mada inamzungumzia Nas alivyochemka kwenye ether, we unaeta masuala ya hela na mafanikio ya Jay-Z, vitu ambavyo wala sijavigusa.
Nimeandika mwanzo kabisa kuwa naunga mkono wanaosema Jay-Z alishindwa kwenye hiyo battle, na pia nakubali kuwa ether ilichangia hilo, japo kwa kiasi fulani, ila nadhani lugha ndio kikwazo ndiyo maana nikakushauri ujifunze kwanza ndiyo uje kujadili/kubishana.
Oh boy!
Unaijua vipi accent yangu ikiwa hujawahi kunisikia popote, wala hunijui?? Nadhani ulimaanisha tone, kumbuka usemi 'when in Rome, act Roman'; it's a rap topic, I talk rap, don't sweat the technique. Msikilize pia Tim Westwood hapa chini, unaweza kujifunza kitu kuhusu hilo.
you lost this fool with his wack as slang...dan cooper is a shame tp hip hop comunity...dont know shit about hip hop......all the realist know that jay been on NAS life since blooklyn days leant a lot only thing difference jay is a businessman true story and got respect on him for that he even **** bean seagal and rocafela when sold them out
Now what did you mean by saying "having said these lines alone take away all the credits"? Was that not a sham gimmick for insinuating Nas' lines that state he guided jay in earliest days?
Kwa ninavyokuona hata nikifanya hivyo bado hatuta elewana.
Kwani hapa tunazugumzia nini?
Tunazungumzia habari za Lema au ugali maharage?
"Eti unazumgumzia nini"
women aint bitches my good friend ..bitches are bitches even we have man bitches depend on how you behave
hoes ni malaya in simple english na malaya ni malaya huwezi mwita sister ila gay z ndo alikua anarock gayz...kid grow up or shut up
Attention seeker tu.
Nilikutoa kwenye maana uliposema eti Biggie si lolote.
The Notorious B.I.G,si wa sport sport kabisa...plus alikua big brother to JayZ musically.
Cha ajabu unaweza pandisha kichaa zaidi ukasema 2Pac Tha Makaveli nae si lolote.
Maajabu haya
Natumia satire mzee kujieleza...ni super sarcasm natumia...nimetumia american english just utani...na siwezi kusimamisha p.umbu humu nikaanza kuwaambia Waafrika wenzangu humu wajifunze English as if mimi ni American kama unavyofanya wewe
Hamna kitu hapo,attention whore tu.
One of your quotes you considered escober as a swollen Niger in this[emoji115] beef. Else, only majority supported him as always stronger vs weaker...weaker ndiye anayetetewa. (Dan cooper)Charlamagne and Andrew touch on ether and takeover briefly.
One of your quotes you considered escober as a swollen Niger in this[emoji115] beef. Else, only majority supported him as always stronger vs weaker...weaker ndiye anayetetewa. (Dan cooper)
Koh hapa kwa uzi ulikuwa unahitimisha tu
Not this thread...ni thread nyingine ya kioldskul...Sijakupata fresh hapo. Hebu copy exactly nilivyosema, halafu tuendelee kuanzia hapo.
Not this thread...ni thread nyingine ya kioldskul...
Nikiipata nitakutag
hiko kichwa nahisi hakitafsiri lugha vzuri na hakujui kucompare vi2. The 'bars' have a story. unaelezewa iyo story ilivokua....unaanza kusema unaekewa maneno... acha kutasfsiri mistari kwa maana ya neno.,,.they are artists for christ sake... that's simple wordplay....words have more tha one meaning, and the meaning can be justified by the context of the sentence....No Sir, another one you didn't get. Nas meant Jay and his fellas handle their emotions like women, which is a weakness. So, not only did Nas meant women are weak, but he also used an abusive term to refer to them.
Hoes is another offensive/abusive term to refer to women, hence the hypocrisy.
Get it now?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaelewa hata unazungumzia nini, hebu rudia kwa kiswahili.
hiko kichwa nahisi hakitafsiri lugha vzuri na hakujui kucompare vi2. The 'bars' have a story. unaelezewa iyo story ilivokua....unaanza kusema unaekewa maneno... acha kutasfsiri mistari kwa maana ya neno.,,.they are artists for christ sake... that's simple wordplay....words have more tha one meaning, and the meaning can be justified by the context of the sentence....
acha kukariri kisa umeambiwa hoes ni malaya....basi kila mahali ukiona neno hoes unadhani anrefer malaya literally ....
hiko kichwa nahisi hakitafsiri lugha vzuri na hakujui kucompare vi2. The 'bars' have a story. unaelezewa iyo story ilivokua....unaanza kusema unaekewa maneno... acha kutasfsiri mistari kwa maana ya neno.,,.they are artists for christ sake... that's simple wordplay....words have more tha one meaning, and the meaning can be justified by the context of the sentence....
acha kukariri kisa umeambiwa hoes ni malaya....basi kila mahali ukiona neno hoes unadhani anrefer malaya literally ....