TBT: How Nas exposed himself through Ether

TBT: How Nas exposed himself through Ether

Yessir, I have no respect for Nas, and I've given my reasons. Respect is earned, not due.

Attention seeker tu.

Nilikutoa kwenye maana uliposema eti Biggie si lolote.

The Notorious B.I.G,si wa sport sport kabisa...plus alikua big brother to JayZ musically.

Cha ajabu unaweza pandisha kichaa zaidi ukasema 2Pac Tha Makaveli nae si lolote.

Maajabu haya
 
Pia acha unafiki bro, nani alitumia account yako hapa chini?? Au hiyo pia ni lafudhi ya mavumbini ulipo??

Natumia satire mzee kujieleza...ni super sarcasm natumia...nimetumia american english just utani...na siwezi kusimamisha p.umbu humu nikaanza kuwaambia Waafrika wenzangu humu wajifunze English as if mimi ni American kama unavyofanya wewe
 
Nikikudharau, nakupuuza. Nachofanya kwako ni kukusaidia bro. Nakuambia ujifunze lugha, kwa sababu ni wazi huelewi topic na unanitoa nje ya mstari kwa vitu ambavyo sijui unavitoa wapi. Mada inamzungumzia Nas alivyochemka kwenye ether, we unaeta masuala ya hela na mafanikio ya Jay-Z, vitu ambavyo wala sijavigusa.

Nimeandika mwanzo kabisa kuwa naunga mkono wanaosema Jay-Z alishindwa kwenye hiyo battle, na pia nakubali kuwa ether ilichangia hilo, japo kwa kiasi fulani, ila nadhani lugha ndio kikwazo ndiyo maana nikakushauri ujifunze kwanza ndiyo uje kujadili/kubishana.

Oh boy!

Unaijua vipi accent yangu ikiwa hujawahi kunisikia popote, wala hunijui?? Nadhani ulimaanisha tone, kumbuka usemi 'when in Rome, act Roman'; it's a rap topic, I talk rap, don't sweat the technique. Msikilize pia Tim Westwood hapa chini, unaweza kujifunza kitu kuhusu hilo.

Hamna kitu hapo,attention whore tu.
 
you lost this fool with his wack as slang...dan cooper is a shame tp hip hop comunity...dont know shit about hip hop......all the realist know that jay been on NAS life since blooklyn days leant a lot only thing difference jay is a businessman true story and got respect on him for that he even **** bean seagal and rocafela when sold them out

Bruh... I salute you for candid impartial opinions.

From the way this dude Dan cooper miscomprehended my analysis i almost lost my enthusiasm in this discussion, in his previous topic he said "Ether" is overrated and i kindly challenged him how? he went ahead to open this dscussion which i found there lotta misinterpretations and biased claims need to be confuted.

Funny thing our dude declares himself he is not a jigga's fan neither Nas's hater whilst he's been caught in several posts hatin on Nas. No wonder he's being as hypocrite as his idol who kept chasing Nas' shadow for years and only came to misbid him later.

Jigga has been on dick riding game hundreds times, Bean seagel was his regular guest appeared in most of his early tracks, here are the words Nas uses in his lyrics to ridicule his ass kissing job, “I’m tryina kick the shit you need to learn tho, that Ether, that shit that make your soul burn slow”. This Holds a profound meaning, Nas is exposing Jay in the song to be a biter and has a style that is fabricated and pretty much directly influenced by Nas himself.

Nas basically tuned in on the facadeJay's authenticity and poured Ether on him. Cutting any realness about Jay in the public’s eye. You may notice that Jay wasn’t the same for a while after hearing Ether, it smashed his ego completely and his "super ugly" response was totally a crap.
 
Now what did you mean by saying "having said these lines alone take away all the credits"? Was that not a sham gimmick for insinuating Nas' lines that state he guided jay in earliest days?

Kwa ninavyokuona hata nikifanya hivyo bado hatuta elewana.

Kwani hapa tunazugumzia nini?

Tunazungumzia habari za Lema au ugali maharage?

"Eti unazumgumzia nini"

The words in quotation marks that are supposed to be mine, aren't really mine. Why should I keep up with you, when you can't write nor read straight??
 
women aint bitches my good friend ..bitches are bitches even we have man bitches depend on how you behave

hoes ni malaya in simple english na malaya ni malaya huwezi mwita sister ila gay z ndo alikua anarock gayz...kid grow up or shut up

There are powers beyond us that guided you to pick a chicken head for an avi bro, it's not a coincidence. So I'ma respect them from now on, and leave you be.

Peace out.
 
Attention seeker tu.

Nilikutoa kwenye maana uliposema eti Biggie si lolote.

The Notorious B.I.G,si wa sport sport kabisa...plus alikua big brother to JayZ musically.

Cha ajabu unaweza pandisha kichaa zaidi ukasema 2Pac Tha Makaveli nae si lolote.

Maajabu haya

I'm truly having a ball with y'all, but mostly with you man. I'm an attention seeker, yet you're one on my conversations; Umenitoa maana, ila bado unanifuata, make up your mind son.

Natumia satire mzee kujieleza...ni super sarcasm natumia...nimetumia american english just utani...na siwezi kusimamisha p.umbu humu nikaanza kuwaambia Waafrika wenzangu humu wajifunze English as if mimi ni American kama unavyofanya wewe

Have you really any understanding of the sh!t you write bro? Satire..? sarcasm..? where..? how..?

Nimekuambia jufunze lugha, siyo english. Pia english siyo ya wa-America. Don't take sh!t personal man, I'm only lookin' out, and mess with too cos it's heeeella fun.
 
Hamna kitu hapo,attention whore tu.

What's up with the names tho? Can't y'all just argue with no foul mouths?? And it's quite ironic how I'm branded burthurt, but it's y'all with all the emotional insults.

Life's too short to be that sore on a stranger man, it's not even worth it.
 
Charlamagne and Andrew touch on ether and takeover briefly.​

kuna Multiple-interpretation kwenye saana.
Broklyns,kijenges, temekes will never be identical when decribing either nas's ether or jiga's take over.[emoji41][emoji41]
 
Charlamagne and Andrew touch on ether and takeover briefly.​

One of your quotes you considered escober as a swollen Niger in this[emoji115] beef. Else, only majority supported him as always stronger vs weaker...weaker ndiye anayetetewa. (Dan cooper)

Koh hapa kwa uzi ulikuwa unahitimisha tu
 
Sijakupata fresh hapo. Hebu copy exactly nilivyosema, halafu tuendelee kuanzia hapo.
 
No Sir, another one you didn't get. Nas meant Jay and his fellas handle their emotions like women, which is a weakness. So, not only did Nas meant women are weak, but he also used an abusive term to refer to them.

Hoes is another offensive/abusive term to refer to women, hence the hypocrisy.

Get it now?
hiko kichwa nahisi hakitafsiri lugha vzuri na hakujui kucompare vi2. The 'bars' have a story. unaelezewa iyo story ilivokua....unaanza kusema unaekewa maneno... acha kutasfsiri mistari kwa maana ya neno.,,.they are artists for christ sake... that's simple wordplay....words have more tha one meaning, and the meaning can be justified by the context of the sentence....
acha kukariri kisa umeambiwa hoes ni malaya....basi kila mahali ukiona neno hoes unadhani anrefer malaya literally ....
 
Smh!

Alright, it ain't always about the words, but the context they're being used in, true that. Now, Nas alisema...'I rock hoes, y'all rock fellas', hoes ni kina nani katika huo muktadha?
 
hiko kichwa nahisi hakitafsiri lugha vzuri na hakujui kucompare vi2. The 'bars' have a story. unaelezewa iyo story ilivokua....unaanza kusema unaekewa maneno... acha kutasfsiri mistari kwa maana ya neno.,,.they are artists for christ sake... that's simple wordplay....words have more tha one meaning, and the meaning can be justified by the context of the sentence....
acha kukariri kisa umeambiwa hoes ni malaya....basi kila mahali ukiona neno hoes unadhani anrefer malaya literally ....

Just reliazed this dude ain't know shiit about ether, he tryna so hard to twist the meanings of all lines toward his fanaticism, very ridiculous.

Anachoshindwa kuelewa Ether ilikuwa ni ngoma ya kujibu takeover na ndio maana Nas alienda straight bila kupindisha maneno sababu Jay z alifanya hivyo sasa Nas akaona afanye zaidi yake.

Kuhusu mistari anayoipigia kelele huyu jamaa "I rock hoes, y'all rock fellas/And now y'all try to take my spot, fellas, Feel these hot rocks, fellas, put you in a dry spot, fellas

Basically Nas was upset with jay z and Rocafella tryna dethrone him his "King of NY status" by downplaying him through their wack lyrics.

Kumbuka ile ilikuwa ni vita Nas aliendelea kwa kusema "you a fan, phony, fake, pussy, a satan

Inaaminika kabla ya Beef Jay z alikuwa mfuasi mzuri wa Nas.
800955491ec3575ec7a181608080088f.jpg

na alimtaja kwenye ngoma zake kibao na zingine kuzi sample kabisa mfano dead president II. Hata album ya illitimaic ilivyoingia sokoni jigga mwenyewe alisema illimatic is hot. Kabla hajaja kuipondea baadae kwa kusema "i sold your whole garbage in my first week"

Nilichogundua huyu jamaa hajui kiundani maudhui yaliyomo kwenye hii ngoma. Ether is essentially considered as of the best three diss tracks in hip hop history.
 
Back
Top Bottom