Nikikudharau, nakupuuza. Nachofanya kwako ni kukusaidia bro. Nakuambia ujifunze lugha, kwa sababu ni wazi huelewi topic na unanitoa nje ya mstari kwa vitu ambavyo sijui unavitoa wapi. Mada inamzungumzia Nas alivyochemka kwenye ether, we unaeta masuala ya hela na mafanikio ya Jay-Z, vitu ambavyo wala sijavigusa.
Nimeandika mwanzo kabisa kuwa naunga mkono wanaosema Jay-Z alishindwa kwenye hiyo battle, na pia nakubali kuwa ether ilichangia hilo, japo kwa kiasi fulani, ila nadhani lugha ndio kikwazo ndiyo maana nikakushauri ujifunze kwanza ndiyo uje kujadili/kubishana.
Oh boy!
Unaijua vipi accent yangu ikiwa hujawahi kunisikia popote, wala hunijui?? Nadhani ulimaanisha tone, kumbuka usemi
'when in Rome, act Roman'; it's a rap topic, I talk rap, don't sweat the technique. Msikilize pia Tim Westwood hapa chini, unaweza kujifunza kitu kuhusu hilo.