TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

Pole sana, JF inaficha mengi sana. Yaani leo hii tukikutana members wa JF hutachukua muda kunigundua maana nitakuwa mwenyewe muda wote.

Kuna kipindi bwana mmoja hapa nchini alifanya tukio la kuteka hisia vyombo mbalimbali vya habari siku moja nikiwa kwenye harakati za kazi nikakutana naye, licha ya tabia yangu siku hiyo sijui ilikuwaje nikajikuta namsalimia na kuongea naye ila akajibu kwa nyodo na kujisikia. Tangu hapo niliapa hata nikutane na hayati Michael Jackson siwezi kumwongelesha.

Yule bwana bado tunakutana sana ila kuna siku nasubiri aingie kwenye 18 zangu nitalipa kisasi na nyodo zake zitaisha.

Ukimya siyo upole, hivyo mtu mkimya asionekane ni mpole. Mimi ukinichokoza huwa navaa sura nyingine lazima ujutie maamuzi yako.
 
N

Nmeiba snaa pen aisee

Enzi hizo tunatumia vioo kuchungulia chupi za kina aisha
Mwalim akija class bila pen anauliza nani ana pen mbili darasa "Jay" mimi huyo sasa. [emoji28][emoji28] Nampelekea compas Mwalimu achague anayo taka.

Sikuwahi wachungulia wasichana kabisa mbali na kuiba pen ilikua mimi na mpira.
 
Neno compas nimeikuta seko, msingi ni MKEBE.. unakuta nina mkebe umejaa peni ila zinazoandika vizuri ni moja zilizobaki zinagoma au haziandiki ila zimejaa wino
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na zilizoisha humo humo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Zote umo umo
Iyo siku nimechelewa class mornii kulikua na kipind kinaitwa chemsha bongo saa 1.45, ile nimeingia class Mwalim nae anaanza kusoma dictation chap nikazama kwenye compas nitoe pen aise kila pen ninayo toa haindiki karibu pen 4 haziandiki, huku Mwalimu anazidi kusonga na dictation. Mwisho wa siku nikachezea kichapo.
 
Hii haujaitolea maelezo mazuri.
Wanaume baada ya kukosa mnachokitaka huwa mnakikashifu kwa kujidai "sizitaki mbichi hizi"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It's good you are alive
 
Jambazi mkuu shuleni kuna mda nilipachikwa jina la kaka jambazi
 
Neno compas nimeikuta seko, msingi ni MKEBE.. unakuta nina mkebe umejaa peni ila zinazoandika vizuri ni moja zilizobaki zinagoma au haziandiki ila zimejaa wino
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Aiseee.

Nilikuwa nakaa karibu na shule, nikawa navizia muda wa wanafunzi kutawanyika Ile jioni maana sisi wa madarasa ya chini tulikuwa tunaenda nyumbani mchana na haturudi shule tena.

Hivyo nikiona wanafunzi wapo paredi ile jioni naingia darasani kwa sababu muda huo watakuwa hawajaenda na mabegi yao. Itakuwa bahati mbaya kama nitaingia kwenye begi lako lazima mtu aende nyumbani akiwa analia.

Yote ya yote nashukuru tabia hizo sikuzichukua nilipoanza kukitambua ila ningeamua kuiba kwa akili zile huwenda ningekuwa Carl Gugasian.
 
Ahaaaa chitemo mimi masikini uvivu wangu nyumban raha sana
Mwalim :Nani anataka kuwa Kama chitemo.
Darasa : Kimya.
Mwalim : Nani anataka kuwa kama Sadiki.
Darasa :Mimiiii [emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23] mimi kuna teacher alikuwa ananiagiza agiza ovyo ni wa kike kuna siku akanipa hela kubwa kidogo nimfutie kitu dukani sikurudi nikawa mtoro na shule kwa mda wa two weeks.
na ndipo ukawa mwisho wa kunituma
 
[emoji23][emoji23] mimi kuna teacher alikuwa ananiagiza agiza ovyo ni wa kike kuna siku akanipa hela kubwa kidogo nimfutie kitu dukani sikurudi nikawa mtoro na shule kwa mda wa two weeks.
na ndipo ukawa mwisho wa kunituma
Wewe ulikuwa tapeli sasa
 
Hahahaaa mimi nilikua naona huruma kuibia watu asee... vile mtu anahangaika kumbe ww ndio umemliza. Kuna jamaa ilikua kifika saa saba anatuambia twende kwenye shamba la mihogo mitam la bibi yake.. tulikua tunaamini. Tukirudi tunawaletea watu darasani kumbe sio labibi yake wala nini alikua anatupeleka kuiba.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Eti mihogo ya bibi. Niliwahi kutukanwa na mademu wawili kipindi niko O level kuwa nimeiba zambarau kumbe maskini nilizinunua. Kile kitendo kiliniuma sana nikawaweka kiporo ile tunatawanyika ninao. Niliwapa kipigo cha uhakika, walikuja zama ambazo nilikuwa nachukia wizi na kunisingizia kuiba kwa kweli isingekuwa rahisi kuwaacha.

Mmoja wao nilimla, ila mmoja amefariki mwaka jana. (R. I. P)
 

Kwa hiyo mkuu ulikuwa unapanga hizo nyumba bila kuandikishiana mikataba ya upangaji?
 
Daaah umenikumbusha mbali kweli.
Enzi hzo niko latano au lanne nilikua ka Handsome ataree..
Wadada wa 3 walinikaba wakanivua nguo wakanibaka.. hahaaaa!! Mmoja alikua mtoto wa mchungaji. Mmoja wapo alikua anaitwa Tiba huyu tulikua ae hadi sekondari nilikua nikimkumbusha anacheka sana. Mwakajana tarehe 8 mwezi wa nane kafariki akiwa anajifungua watoto mapacha. RIP Tiba
 
Dah! Pole sana kaka.
 
Dah umenikumbisha mbali sana....dah! Maana shule nilikua na dem mmoja ambae pia monitor alikua anammendea hahaaaa monitor alipo chemka akatengeneza bifu na mm dairy alikua ananiandika mpiga kelele. Nilichezea sana mboko hata km sijapiga kelele lazima tu aniandike.Siku moja mwalimu wa dalasa akasema ww kukukomesha ndo nakupa u monitor hahaaaaa kilichoendelea sitaki kukisema maana huyo jamaa mpaka leo tukikutana hua tunacheka tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…