TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

Wakati nipo darasa la tatu, mzee wangu alikwenda Pemba kikazi ikabidi tutoke Unguja tuhamie Pemba. Mzee alikuwa na Petrol station pekee wilaya nzima hivyo alikuwa Don wa maana na automatically mimi pia nkawa Don wa pale mjini and hapo I was only 10 years old.

Kuna mwalimu bhana akawa hanipendi, yaani hanipendi tu na sijui why ilikuwa vile, alikuwa akisomesha one of the subject I dont remember. Basi kuna siku sijui tulifanya nini darasani ikabidi tuadhibiwe. Yule mmama alinipiga stick za maana tofauti na wenzangu wote. Nililia vibaya sana na nkasema Leo imefika mwisho wa uonevu.

Baada ya kipindi chake nkatoka nkachkua madaftari yangu na nkamshawishi mshkaji wangu tusepe. Tukaenda mpaka bandarini karibu na njia yake anayopita kwenda kwake, kulikuwa ba kijipori kidogo. Kuanzia saa sita mchana ule mpaka saa Saba mimi na mshkaji tukawa tunakusanya tu mawe. Tulipata rundo la mawe, mawe yalikuwa mengi balaa. Kama Saa saba na nusu hivi tunamuona teacher huyooo anakuja. Nkamwambia mshkaji oya huyu mnoko anakuja. Tukajificha fresh alipokaribia tukaanza kumvurumishia mawe. Aisee, tulivurumisha mawe kinoma mpaka mama wa watu akaanza kukimbia, tulirusha mawe like never before mpaka nkikaa nkijiuliza kwanini nlifanya vile nabaki tu na majonzi. That was one of the bad thing nimewahi kufanya as a kid.

Ile ishu ilikuja ikavuja kwamba ni Sisi ndio tulifanya ule UJINGA. Rafiki yangu ilibidi ahamishwe shule akapelekwa wete huko na mimi ikabidi nipelekwe katika moja ya mikoa ya tanzania bara huko ndani ndani huko.

By the way, mshkaji wangu huyu huyu jana nimejithibitishia kuwa anataka kunidhulumu 600,000 yangu. Noma sana urafiki wa mashaka
 
Hahaaa ndio malipo ya ile issu mkuu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Zote umo umo
Iyo siku nimechelewa class mornii kulikua na kipind kinaitwa chemsha bongo saa 1.45, ile nimeingia class Mwalim nae anaanza kusoma dictation chap nikazama kwenye compas nitoe pen aise kila pen ninayo toa haindiki karibu pen 4 haziandiki, huku Mwalimu anazidi kusonga na dictation. Mwisho wa siku nikachezea kichapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
"Dictation " nimekumbuka mbali sana..usiombe ukagomewa na peni.
 
Tuliwahi kuandamana kisa kukatazwa kuandika mtihani kwakua hatujatoa hela ya mlinzi.. sasa sie tulie toa tukawa tunekatazwa ambao bado wakaingia kuandika.. wee dogo mmoja baba ake alikua ni afisa elimu sijui wa kata akasema twende tukamwambie baba... kundi lote tukaenda hadi ofisini kwa baba yake Tukapewa Barua tuwapelekee walimu. Vile tunatokezea shule tu walimu na viranja wakatuzingira tusikimbie..Kumbe ile barua ndani ilikua imeandikwa "WACHAPENI SANA HAWANA ADABU" Aisee tulikula stiki sijawahi ona.. Toka siku hiyo I'm on my own,hua sifuati watu kwakweli
Hahahahhaha halafu unaweza ukakuta wewe ukiwepo ndiyo mambo yanaenda mrama, ila usipokuwepo wanafanikiwa.
Nachukia sana uilikuwa inanitokea...siku nikiandikwa msumbufu lazima tuchapwe, lakini siku nisipopiga kelele hawachapwi.
 
Hahahaaa wacha tu ili shule yetu uhesabiwe namba ya kuwahi lazima uwe na fagio.. sasa nisipo enda nao wanahesabu wenye fagio tu ila nikienda na fagio wanahesabu hadi wasio na fagio.. hv kwanini inakua hivi..?
 
Have you ever felt so filled with sorrow that it felt good to watch a sad movie or to read sad stories... just so you could get lost in a different pain and yet still cry your own?.
The answer is, I called but you are not reachable!
 
Hahahaaa wacha tu ili shule yetu uhesabiwe namba ya kuwahi lazima uwe na fagio.. sasa nisipo enda nao wanahesabu wenye fagio tu ila nikienda na fagio wanahesabu hadi wasio na fagio.. hv kwanini inakua hivi..?
Hahahahah ni mikosi inaandamana na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi hadithi zimenikumbusha mbali sana, hivi watoto wa siku hizi wanasoma nini??
 
Oooh! Seems I was nowhere to be found.
None of our guests are from AMERICA.

It is a weird question and you don't like it but I will have to ask, no way out. "What else could I do"???

I told them to come, and I know they came yesterday (the whole day), today as well (from morning).

I was checking my computer and thought may be TRUMP the "the racist" had some problems and he needed to restart. Then I did something on my computer and notified you, did you check yours???

Look, they are not hacking tigo, can you just do something??
 
Back
Top Bottom