Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Wakati nipo darasa la tatu, mzee wangu alikwenda Pemba kikazi ikabidi tutoke Unguja tuhamie Pemba. Mzee alikuwa na Petrol station pekee wilaya nzima hivyo alikuwa Don wa maana na automatically mimi pia nkawa Don wa pale mjini and hapo I was only 10 years old.
Kuna mwalimu bhana akawa hanipendi, yaani hanipendi tu na sijui why ilikuwa vile, alikuwa akisomesha one of the subject I dont remember. Basi kuna siku sijui tulifanya nini darasani ikabidi tuadhibiwe. Yule mmama alinipiga stick za maana tofauti na wenzangu wote. Nililia vibaya sana na nkasema Leo imefika mwisho wa uonevu.
Baada ya kipindi chake nkatoka nkachkua madaftari yangu na nkamshawishi mshkaji wangu tusepe. Tukaenda mpaka bandarini karibu na njia yake anayopita kwenda kwake, kulikuwa ba kijipori kidogo. Kuanzia saa sita mchana ule mpaka saa Saba mimi na mshkaji tukawa tunakusanya tu mawe. Tulipata rundo la mawe, mawe yalikuwa mengi balaa. Kama Saa saba na nusu hivi tunamuona teacher huyooo anakuja. Nkamwambia mshkaji oya huyu mnoko anakuja. Tukajificha fresh alipokaribia tukaanza kumvurumishia mawe. Aisee, tulivurumisha mawe kinoma mpaka mama wa watu akaanza kukimbia, tulirusha mawe like never before mpaka nkikaa nkijiuliza kwanini nlifanya vile nabaki tu na majonzi. That was one of the bad thing nimewahi kufanya as a kid.
Ile ishu ilikuja ikavuja kwamba ni Sisi ndio tulifanya ule UJINGA. Rafiki yangu ilibidi ahamishwe shule akapelekwa wete huko na mimi ikabidi nipelekwe katika moja ya mikoa ya tanzania bara huko ndani ndani huko.
By the way, mshkaji wangu huyu huyu jana nimejithibitishia kuwa anataka kunidhulumu 600,000 yangu. Noma sana urafiki wa mashaka