TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari

Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda

Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo akihojiwa na kina masoud kipanya, mezani kulikua na chupa za maji ambayo kwa muundo wake ni chupa ya Kilimanjaro, ila yalikua yameondolewa ile karatasi ya label inayoonesha jina la maji, kitu ambacho si cha kawaida kwenye interviews zinazorushwa kwenye online media..nashangaa mtu amefariki ila bado unamchukia, ni kipi kikubwa walifanyiana

Chanzo cha ugomvi na chuki baina ya Reginald Mengi na Rostam Aziz ilikuwa nini haswa? Ukiachana na walivyotuambia kwenye vyombo vya habari?
Screenshot_20241205-210158.png
Screenshot_20241205-210147.png
 
1733621992372.png

Mambo ya kubandua label za kwenye chupa ni ushamba ,siku hizi kuna customized label tu tena bei rahisi ,kubandua inaonyesha muandaaji siyo profession kwenye kazi yake ,kuweka label chupa tatu inakushinda? Au unaweza kwenda kuomba sponsorship ya kutangaza bidhaa kwenye huo mkutano ukavuta maokoto ,mambo ya kubandua label inaonyesha team yake ya sales/marketing ni MBOVU.
 
View attachment 3171720

Mbona kama umeumia
 
ugomvi wao huenda ni katika ushindani wa kupata ZABUNI kwenye miradi mikubwa ya uwekezaji, kama vile migodi, gesi, hisa nk.
 
Na sikia mchonganishi wao wakati alikuwa ni ccm.
 
Back
Top Bottom