Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda
Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo akihojiwa na kina masoud kipanya, mezani kulikua na chupa za maji ambayo kwa muundo wake ni chupa ya Kilimanjaro, ila yalikua yameondolewa ile karatasi ya label inayoonesha jina la maji, kitu ambacho si cha kawaida kwenye interviews zinazorushwa kwenye online media..nashangaa mtu amefariki ila bado unamchukia, ni kipi kikubwa walifanyiana
Chanzo cha ugomvi na chuki baina ya Reginald Mengi na Rostam Aziz ilikuwa nini haswa? Ukiachana na walivyotuambia kwenye vyombo vya habari?