TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi.

Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike.




ITAENDELEA!!
 
Niliiona uzeeni sasa!
Enzi hizo wakishua wakihadithiana, mi natoa mimacho tu, nilikuwa nasikiliza michezo ya kina Jangala, Pwagu RTD
 
ni noma aisee yani sikuuizi mchawi ni bando
Hata bila bando, hizi muvi zinahamishika kirahisi tu kutumia flash disk, waya, bluetooth, n.k.

Hata ukienda library kupata muvi kama hii unahamishiwa kwa 500 tu.

Bando sanasana ni mambo mapya mapya.
 
Back
Top Bottom