TBT: Tundu Lissu akiwashukia wanufaika wa mgao wa ESCROW akitaka washughulikiwe

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi.

Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya kuminiwa risasi za kutosha hali iliyopelekea hadi leo hii yeye kutembea na makovu ya matundu ya risasi mwilini mwake, yote ni katika harakati za kupambania maslahi ya Taifa lake.

Kwa hivi sasa yupo nyuma ya nondo kwenye gereza la Ukonga akikabiliwa na mashtaka ya Uhaini. Hii ni miezi michache baada ya kuwa Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).

Video chini inamuonesha Lissu alipokuwa akitaja mabilioni ya pesa yaliyogawiwa kwa viongozi mbalimbali ikiwemo wabunge, mawaziri, viongozi wa dini, na Majaji kutoka kwenye ESCROW. Lissu alitaka walipokea pesa hizo ambazo ni rushwa wawajibishwe.

Hii ni mara baada ya ripoti ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuanika majina ya maofisa wa serikali, wabunge na viongozi wa dini waliopata mgawo wa fedha zinazohusishwa na kashfa ya ESCROW

Soma pia : Pesa za ESCROW zilikuwa za umma ama watu binafsi???
 
View attachment 3316596
Greatest man of our TIME God bless you!
Bombastic
 
Kipindi hicho, Bunge angalau lilikuwa na chembechembe za Bunge! Siku hizi Bunge ni lundo la chawa!
 
Uzalendo wa Tundu Lissu utakuwepo, upo na utaendelea kuwepo.

Unadhani Lissu anaweza kuwa salama ikiwa anashukia watu wenye maproject yao ya kupiga hela?
 
Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi.

Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya kuminiwa risasi za kutosha hali iliyopelekea hadi leo hii yeye kutembea na makovu ya matundu ya risasi mwilini mwake, yote ni katika harakati za kupambania maslahi ya Taifa lake.

Kwa hivi sasa yupo nyuma ya nondo kwenye gereza la Ukonga akikabiliwa na mashtaka ya Uhaini. Hii ni miezi michache baada ya kuwa Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).

Video chini inamuonesha Lissu alipokuwa akitaja mabilioni ya pesa yaliyogawiwa kwa viongozi mbalimbali ikiwemo wabunge, mawaziri, viongozi wa dini, na Majaji kutoka kwenye ESCROW. Lissu alitaka walipokea pesa hizo ambazo ni rushwa wawajibishwe.

Hii ni mara baada ya ripoti ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuanika majina ya maofisa wa serikali, wabunge na viongozi wa dini waliopata mgawo wa fedha zinazohusishwa na kashfa ya ESCROW
View attachment 3316596
Soma pia : Pesa za ESCROW zilikuwa za umma ama watu binafsi???
CCM😭😭😭
 
Back
Top Bottom