Wachumba wapo wengi yule mdogo anguUsijibane Bane Mwisho Kiliwe Na Nyegere.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wachumba wapo wengi yule mdogo angu
Namuheshimu sana😁😁Acha Hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Namuheshimu sana[emoji16][emoji16]
Sawa weee sitakuheshimuKuheshimiana Kukizidi Mtaanza Kuogopana Na Mwisho Mnaanza Kuoneana Aibu, Mnajikuta Mnanyimana Baadhi Ya Vitu.
Ndio Maana Mimi Naomba Usiniheshimu Ili Tusinyimane.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli aisee....nilikuwa na west time tu schoolMtu una AKILI TATU ulitegemea ufaulu kweli?
Nilishangilia kwa vingi, nilikua najua nitafaulu.sasa ulishangilia nini kwani ulikua hujui kama utafaulu
Tuna mitoto sana umu ndaniMimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu.
Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?