TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

2004 nilikuwa home nimechill tu nilijua napata channel O na kweli ikawa.
2005 nilikuwa Mwanza bi mdashi akaniambia umefeli tena.
2006 Kigereshi - Mwanza nimetoka mazoezi .Mjomba akaniambia labda ujaribu kitu kingine,umefeli.
2007 nilipata C tatu.Ilinikuta nafanya kazi KACU chama cha ushirika Kahama.Nikaacha na kazi muda huo huo.Kilichobaki ni historia.
 
Kuna mwamba wangu yeye aliyapata matokeo akiwa kaburini. Daah Soo sad matokeo bado Kama wiki mbili jamaa kavuta usiku akiwa kalala. Kumbe mwana alikua ana kifafa na mm mchizi wake wa karibu sikua najua. Kilimkuta ucku akiwa kalala nazani alikosa hewa inside the shukaz.
 
Duh 😔
 
2004 nilikuwa home nimechill tu nilijua napata channel O na kweli ikawa.
2005 nilikuwa Mwanza bi mdashi akaniambia umefeli tena.
2006 Kigereshi - Mwanza nimetoka mazoezi .Mjomba akaniambia labda ujaribu kitu kingine,umefeli.
2007 nilipata C tatu.Ilinikuta nafanya kazi KACU chama cha ushirika Kahama.Nikaacha na kazi muda huo huo.Kilichobaki ni historia.
Amna kukata tamaaa
 
Nilikua kijijini kwa bibi,
Matokeo yetu yalitangazwa jioni, sasa usiku km SAA 2 ndo mama akapiga kwa bibi, akapokea akamuambia mpe cm coca,

Ile kuchukua mie, nasikia mama analia kwa furaha "mwanangu umeniheshimisha, mwanangu umeniheshimisha hongera sana". Nilichachawa balaa nkatoa cm kwenye chaji, kuwasha hv text zina miminika tyuuh za watu kunipa in4 za matokeo, ila mie yangu yakoje hawajasema.

Nahaha kumtafuta maadam ili anieleze, mara vuup kaka anapiga aseeh kupokea tyuuh kaka akaanza kunitajia tokeo langu, nliruka kwa furahaa, na machozi yalianza kutoka, nkalia kwa furaha hapo wee.

Baadae baba akanipigia kunipa hongera, na kuniambia nijiandae kesho yake nirudi home town.
sasa ulishangilia nini kwani ulikua hujui kama utafaulu
 
Kiukweli nilikuwa nazagamua mmama wa mtu ndani kwake...huyu mama alikuwa mke wa mjeshi ...so nilikuwa naenda enda sana kwake kumpa kampani as Mme wake alikuwa congo huko akilinda usalama...

So nikiwa namzagamua akapigiwa simu na mdogo wake naye kamaliza form four..amwangalizie matokeo...

Basi ikabidi show iamie sebuleni kwake maana alikuwa na desktop..so bi mama anatazama necta huko huku ukuni unamsukutua...🤣🤣

Nilikuwa Sina Imani na kiwango changu class..hivyo sikuwa na haraka sana ya kujua Nini nimepata...nilijua nikifaulu basi ni div three... guess what....wakati naendelea kumbatua mdogo mdogo si ndio akanitamia na Mimi bana...

Akaserch pale ...kitu hiki hapa...div four ya mwisho kabisa🤣🤣🤣 ikabidi aanze kuniliwaza...

Mwisho wa kuniliwaza ikawa kumkula Tena.

Yule mumama aishi sana aiseee huko aliko
 
Sisi zamani matokeo kupata mpaka shuleni yabandikwe Au usubiri yatoke gazetini. Nilichogundua hapa members wengi hapa ni watoto, ila wakija kwenye posts wanaweza kukutukana Au kukwambia kejeli na dharau. Jaman tuheshimiane, wengine karatasi zetu za mitihani ya form four zilikua ndogondogo za Rangi, matokeo ya kusubiri gazetini, unaweza kununua gazeti ukakuta Shule Yako Bado, inabid uendelee kununua yanayofuata. Shule za advance zilikua chache, hivyo unaweza kupata two na ukakosa Shule, chuo kikuu ndio kulikua balaa Yan Hata wenye one za Mbali wanakosa wanaenda diploma ya ualimu.
 
Kiukweli nilikuwa nazagamua mmama wa mtu ndani kwake...huyu mama alikuwa mke wa mjeshi ...so nilikuwa naenda enda sana kwake kumpa kampani as Mme wake alikuwa congo huko akilinda usalama...

So nikiwa namzagamua akapigiwa simu na mdogo wake naye kamaliza form four..amwangalizie matokeo...

Basi ikabidi show iamie sebuleni kwake maana alikuwa na desktop..so bi mama anatazama necta huko huku ukuni unamsukutua...🤣🤣

Nilikuwa Sina Imani na kiwango changu class..hivyo sikuwa na haraka sana ya kujua Nini nimepata...nilijua nikifaulu basi ni div three... guess what....wakati naendelea kumbatua mdogo mdogo si ndio akanitamia na Mimi bana...

Akaserch pale ...kitu hiki hapa...div four ya mwisho kabisa🤣🤣🤣 ikabidi aanze kuniliwaza...

Mwisho wa kuniliwaza ikawa kumkula Tena.

Yule mumama aishi sana aiseee huko aliko
Mtu una AKILI TATU ulitegemea ufaulu kweli?
 
Nilikuwa nimesinzia mbonji za mchana.

Nikashangaa tu makelele yanapigwa watu wanashangilia huko nje.

Kumbe matokeo mazuri nilipo jua aina ya matokeo niliyopata nilikuwa disappointed sana.

Maana nilitegemea yake mazuri zaidi ya hayo.
 
Back
Top Bottom