TBT: Unakumbuka nini kuhusu mabomu ya Mbagala (2009) na Gongo la Mboto (2011)?

Tulikuwa tumekaa na washkaji nje ya ukumbi wa ATB, maarufu kama TBS hapo udsm tukisubiri kipindi; ghafla tukasikia kishindo kukubwa sana. Baada ya nusu saa tukapata taarifa rasmi kuhusu mlipuko wa mabomu 671 KJ Mbagala.
 
mabomu ya gongo la mboto πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sitasahau
Hii nchi imechezewa sana .
Eti chanzo ni uhifadhi wa mabomu ?
Kwa nini yalipuke kwenye maghala mawili meneo tofauti kama vile yaliambizana ?
 
Miaka inakimbia eti mara hii ni zaidi ya miaka14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…