Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

Ulishasema aliiba hivyo ni mwizi
Kwani yule rubani Mtanzania aliyeiba ndege ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 Jumuiya ilipovunjika aliirusha ndege kwa ruhusa ipi?
 
TCAA jirekebisheni jmn - tusingrkuwa na upinzani mkali kama msingekuwa mnamshauri vibaya Rais

Kila jambo kwenye kila mamlaka hupenda kutumia nguvu kuliko common

Kwa kuwa wajinga mko wengi hata kitu cha upuuzi mnaamini. Haiwezekani Pilot yeyote wa anaendesha cha chombo cha anga akaruka bila ruhusa ya Mamlaka.

Tatizo la JF sasa hivi kuna vitu technical hata mbumbumbu kwa eneo hilo watataka kuchangia bila kujali ni utumbo. Ndio maana nikaweka for identification kuwa mimi nina Private Pilot Licence. Kwa hiyo ninaufahamu wa sheria za anga.
 
Wasalaam wana jamvi!

Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao..

This is rubbish.

Lissu alikuwa na ratiba ya kurudi DSM.

Helikopta ingekuwa na ratiba ya kwenda Nairobi, Lissu asingekwenda nayo Kia.
 
Kwani yule rubani Mtanzania aliyeiba ndege ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 Jumuiya ilipovunjika aliirusha ndege kwa ruhusa ipi?
Yeye ali connect na control tower ya Tanzania. Na sisi tulimpa clearance tuu, tukijua anafanya nini kwa taifa letu.
 
Wasalaam wana jamvi!

Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao!...
Nani atawaamini hao mamluki ?
 
Kama una jazba kajinyonge ufe huna faida katika huu ulimwengu. Unasumbuliwa na Upumbavu. Lissu babalao, kura zote kwake upende usipende katapike huko si una mimba.
 
 
Haha Lisu Muongo sana eti tumeamua kuruka wafanye watakalo,

Kumbe anaficha ujinga wake kwa kutukana wengine.

Matapeli hawa.
Vipi kuhusu ratiba ya Mikoa ya Kusini CHADEMA walikosea pia kwenye maombi ya kibali?? Wasifikiri kila mtu ni mjinga kama wale mataga wa Lumumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…